Monday, September 9, 2013

'Ozil sio jawabu la matatizo ya Arsenal' Jonathan.

Wanasema Ozil ni mchezaji mzuri, lakini mahitaji yake ndani ya kikosi cha Arsenal sio makubwa. 'Klabu ya Arsenal ina matatizo kwenye nafasi ya golikipa, viungo wakabaji na mfungaji. Ozil ni kiungo mchezeshaji kama Cazorla, Wilshere n.k ambao kwasasa sio tatizo kwa Arsenal ' Angalia maongezi yao upate kusikia zaidi. 



No comments:

Post a Comment