Sunday, September 8, 2013

Kuomba ushauri kutoka kwa mzoefu sio ujinga...

182356 731647723518588 1604025492 n Golazo! Konstantin Vassiljev (Estonia) 2 1 v Holland
Pep Guardiola (kocha wa Bayern Munich) akiwa na Jupp Heynckes ambaye ni kocha wa zamani wa Bayern Munich, wakinywa bia pamoja kwenye mechi kati ya Ujerumani na Austria. Jupp ndiye kocha wa kihistoria wa klabu ya Bayern Munich baada ya kuiwezesha klabu hiyo kushinda vikombe vyote ilivyoshiriki msimu uliopita. Pep ana kazi kubwa ya kuendeleza aliyoyaacha Jupp, ndiyo maana anatumia nafasi kama hii kukutana naye ili kupata ushauri wa baadhi ya masuala. 

No comments:

Post a Comment