Wednesday, September 4, 2013

Rafael anarudi dimbani wiki ijayo

Screen+Shot+2013 09 04+at+09.23.50 Man United full back Rafael confirms on Instagram he will return to training next week
Beki wa kulia wa Man utd Rafael amethibitisha kurudi kwake dimbani  wiki ijayo baada ya kuugilia majeraha ya mguu. Rafael aliumia mguu kwenye mechi kati ya Man utd na Wigan (Mechi ya Community Shield) jambo lililomfanya akose kucheza mechi za mwanzo za ligi kuu. Nafasi ya Rafael kwasasa inazibwa na Phil Jones ambaye pia aliumia kwenye mechi dhidi ya Liverpool. 

No comments:

Post a Comment