Tuesday, October 29, 2013

Blatter amponda Ronaldo na kumsifia Messi

Angalia video kusikia alichokisema Rais wa FIFA Sepp Blatter juu ya Messi na Ronaldo. Kifupi amemponda sana Ronaldo kwa kusema anacheza kama roboti na anatumia pesa nyingi kwenye fasheni na kutengeneza nywele. Kufuatia kauli hii ya Blatter, Rais wa Real Madrid, Perez ameiomba FIFA kumuomba msamaha Ronaldo haraka iwezekanavyo, pia Ronaldo mwenyewe amemjibu Blatter kupitia akaunti yake ya Facebook akishukuru kwa maneno aliyoyatoa juu yake na ameahidi kufanya kweli zaidi ili Blatter aje kumkubali oneday. 



No comments:

Post a Comment