Monday, October 28, 2013

Malinzi akabidhiwa rasmi mikoba na Tenga

Rais mpya wa TFF Jamal Malinzi akikabidhiwa mikoba na Rais aliyemaliza muda wake Leodger Tenga baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa TFF uliofanyika wikiendi iliyopita. Malinzi amefanikiwa kuwa Rais wa TFF baada ya kumshinda mpinzani wake Athaman Nyamlani kwa kura 73. Nafasi ya makamu wa Rais imechukuliwa na Walace Karia. 

No comments:

Post a Comment