Thursday, October 24, 2013

Rooney ajikuna kichwa mara 12 kujibu swali

Wayne Rooney scratch
Pichani ni mshambuliaji wa Man utd Wayne Rooney akijikuna sehemu tofauti za kichwa chake baada ya kuulizwa swali kuhusu kauli ya Sir Alex Ferguson aliyoitoa kuwa mchezaji huyu aliomba kuondoka United. Rooney alikiri kutaka kuondoka, lakini alipata ugumu sana kujibu swali hili lililopelekea kujikuna sana sehemu za kichwa chake zadi ya mara 12 kama anavyoonekana. 

No comments:

Post a Comment