Real Madrid 5 - 1 Real Sociedad
Real Madrid: Diego López, Varane, Pepe, Khedira, Cristiano Ronaldo, Benzema, Bale, Xabi Alonso, Carvajal, Arbeloa, Modric
Substitutes: Casillas, Nacho, Jesé, Morata, Di María, Isco, Illarra
Real Sociedad: Bravo, C.Martínez, Mikel, Inigo, Jose Angel, Markel, Elustondo, Xabi Prieto, Vela, Seferovic, Griezmann
Substitutes: Zubikarai, Ansotegi, De la Bella, Ros, Zurutuza, Chory, Agirretxe
Mshambuliaji wa Real Madrid, leo amefanikiwa kufunga magoli matatu wakati Real Madrid ilipokuwa ikipambana na Real Sociedad. Magoli haya matatu yanamfanya Ronaldo afikishe jumla ya magoli 16. Ronaldo kwasasa ndiye anaogoza kwa ufungaji wa magoli kwenye ligi ya Hispania, nafasi ya pili inashikiliwa na Diego Costa mwenye magoli 13 na Lionel Messi magoli 8.
No comments:
Post a Comment