Kifuatacho ni kikosi cha kwanza kilichotajwa na Sven-Göran Eriksson (Kocha wa zamani wa England) kama ndiyo kikosi bora cha England katika kipindi chote alichokuwa akiifundisha timu hiyo.
Goalkeeper: David Seaman
Right-back: Gary Neville
Centre-back: John Terry
Centre-back: Rio Ferdinand
Left-back: Ashley Cole
Right-wing: David Beckham
Central midfield: Steven Gerrard
Central midfield: Frank Lampard
Left-wing: Paul Scholes
Striker: Wayne Rooney
Striker: Michael Owen
No comments:
Post a Comment