Mwanasoka bora 2012/13 – Haruna Niyonzima (Yanga)
Mchezaji bora Chipukizi – Joseph Kimwaga (Azam)
Mchezaji bora kike – Mwanahamisi Omari
Mchezaji bora wa kigeni – Haruna Niyonzima (Yanga)
Mchezaji bora anayecheza nje – Mbwana Samatta (TP Mazembe)
Kocha bora wa mwaka – Abdalla Kibadeni (Kagera/Simba)
Mwamuzi bora wa mwaka – Oden Mbaga (Dar es salaam)
Mfungaji bora wa mwaka – Kipre Tchetche (Azam)
Goli bora la msimu – Thomas Ulimwengu (Taifa Stars vs Ivory coast)
Kipaji maalum – Hadhara Charles (Ana uwezo wa kuchezea mpira)
Mtangazi bora wa soka – Mshindo Mkeyenge (RTD)
Uongozi wa soka bora – Leodegar Tenga (TFF)
Wakongwe - Nicholous Akwitende, Mbwana Abushiri, Omari Zimbwe, John Lyimo na Jella Mtagwa.
Kikosi Bora cha Msimu ni: Juma Kaseja (Simba), Mbuyu Twite (Yanga), Shomari Kapombe (Simba), Kelvin Yondani (Yanga), David Mwantika (Azam), Amri Kiemba (Simba), Thomas Ulimwengu (TP Mazembe), Haruna Niyonzima (Yanga), Themi Felix (Kagera Sugar), Mbwana Samata (TP Mazembe) na Kipre Tchetche)
No comments:
Post a Comment