Friday, December 27, 2013

Valencia kumsajili Dzeko dirisha dogo

Top target: Valencia are chasing Manchester City striker Edin Dzeko as they look to secure Champions League football
Bilionea wa Singapore Peter Lim anayetarajia kuinunua klabu ya Valencia ametenga jumla ya paundi mil 40 kumsajili mshambuliaji wa Man city Edin Dzeko. Lim anatarajia kuichukua Valancia wiki hii na amesema atafanya juhudi kufanya usajili wa maana mwezi January ili kuiwezesha klabu hii kushiriki michuano ya Uefa Champions msimu ujao. Kwasasa klabu ya Valencia inashika nafasi ya 11 ikiwa na pointi 20 ikiwa ni tofauti ya pointi 26 kutoka kwa timu inayoongoza ligi Barcelona. 
Bilionea wa Singapore, Peter Lim 

No comments:

Post a Comment