Tuesday, January 21, 2014

Nou Camp kufanyiwa maboresho mwaka 2017-21

Nou look: Proposal for the inside of the stadium
Klabu ya Barcelona inatarajia kuufanyia maboresho uwanja wake wa sasa ili kuwa na muonekano wa kisasa zaidi. Maboresho hayo yataufanya pia uwanja huu kufikia idadi ya watazamaji 10,500 kutoka 98,000 wa sasa. Marekebisho haya yatachukuwa jumla ya miaka minne kuanzia mwaka 2017 hadi 2021 na utagharimu paundi mil 495. 

Grand design: Barcelona also plan to redevelop the area around the stadium
Tough decision: Barcelona president Sandro Rosell (second left)
Impressive: Nou Camp with the club's famous academy La Masia at bottom of picture
Muonekano wa sasa wa uwanja wa Barcelona, Nou Camp ambao umefunikwa sehemu moja. Maboresho yatakayofanywa yataufanya uwanja huu kufunikwa sehemu yote. 

No comments:

Post a Comment