Klabu ya Bayern Munich imethibitisha kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Robert Lewandowski akiwa kama mchezaji huru pale mkataba wake utakapoisha mwishoni mwa msimu huu. Lewandowski atajiunga na Bayern Munich tarehe 1 July 2014 na kwa kipindi hiki ataendelea kuitumikia klabu yake ya Dortmund hadi mwisho wa msimu atakapomalizia mkataba wake.
No comments:
Post a Comment