Friday, February 14, 2014

Aguero na Fernandinho kuwakosa Barca na Chelsea, Nasri yupo fiti ashiriki mazoezi na wenzake

Drinks break! City's stars relax during a recess in the day's training session
Wachezaji wa Man city wakiwa kwenye mazoezi kujiandaa na mechi dhidi ya Chelsea itakayofanyika jumamosi ya leo katika michuano ya FA cup. Wachezaji wawili wa Man city Aguero na Fernandinho wameendelea kuuguza majeraha yao na tayari klabu imeshathibitisha kuwa wachezaji hawa hawataweza kucheza kwenye mechi dhidi ya Chelsea na Barcelona, licha ya kuwa Nasri ameonekana kuwa fiti na anaweza kuanza kwenye mechi ya Chelsea. Mechi hii kati ya Man city na Chelsea inatarajiwa kuwa ya upinzani na kulipiza kisasi baada ya Man city kupigwa goli 1-0 na Chelsea wiki mbili zilizopita. Mchezo wa leo mshindi atafanikiwa kwenda hatua inayofuta, lakini droo italazimika kucheza mchezo wa marudiano nyumbani kwa Chelsea. 

No 1: Joe Hart is preparing to face Chelsea's strike force once again at the Etihad StadiumMaestro: David Silva will be glad to have Nasri back in the team to help eek out chances against Chelsea
Larking about: Vincent Kompany shares a joke with his team-mates during the training session
In line? Stevan Jovetic, Yaya Toure and Nasri were training at the Etihad on Friday
All smiles: Samir Nasri will hope to take the game to Chelsea, who have beaten City twice this season
Blow: Manuel Pellegrini (right) will be without Sergio Aguero and Fernandinho for City's run-in

No comments:

Post a Comment