Wednesday, February 26, 2014

Cheki Torres alivyounyoosha mguu wakati wa kufunga

In a twist: Fernando Torres slots home with his foot at an extraordinary angle to give Chelsea an early lead
Picha hii inamuonesha Torres akifunga goli pekee la Chelsea dhidi ya Galatasaray. Kilicho cha ajabu ni mguu wa Torres alivyouweka wakati anafunga goli. Kifundo cha mguu wake kinaonekana kunyooka kama mtu mwenye ulimavu wa mguu au mtu aliyevunjika mguu baada ya kupiga mpira, lakini hii yote ni ufanisi mkubwa aliyonao mchezaji huyu kwenye kufunga magoli. 


Opener: Fernando Torres celebrates after sending Chelsea into the lead in the first half in Istanbul

No comments:

Post a Comment