Tuesday, February 4, 2014

Kiwango cha Nemanja Matic dhidi ya Man city

P1wXHUW Nemanja Matics monster display for Chelsea in 1 0 win at Man City [Individual Highlights]
Video hii ya chini inamuonesha mchezaji mpya wa klabu ya Chelsea, Nemanja Matic akicheza dhidi ya Man city kwenye nafasi ya kiungo. Mchezaji huyu alicheza vyema kwenye mchezo huu muhimu kwa klabu yake na aliweza kuonesha kiwango kikubwa cha kuzuia na kugawa mipira. Ilikuwa ni vigumu kuona mchango wa Matic kwenye mechi hii kwani uchezaji wa Matic ni wa kufichika, si rahisi kuona umuhimu wake kirahisi. Kuthibitisha haya, bofya video kuangalia kiwango alichokionesha.....

No comments:

Post a Comment