Tuesday, February 4, 2014

Klabu nane kucheza Int. Champions Cup Marekani

2014 international champions cup 600x202 Liverpool, Man City, Man United, Real Madrid, Inter & AC Milan & Roma set to compete in summer tournament in US
Klabu nane za barani Ulaya zinatarajia kucheza kwenye International Champions Cup nchini Marekani baada ya kombe la dunia. Klabu hizo zitakuwa ni  Liverpool, AC Milan, Inter Milan, Man City, Manchester United, Olympiacos, Real Madrid na Roma. Mechi hizi zitachezwa kwenye miji tofauti nchini Marekani ikiwemo  Phoenix, Denver, D.C., Charlotte, Dallas, Pittsburgh, Philadelphia, Chicago, New York/ New Jersey na miji mingine itatangazwa baadaye. 

No comments:

Post a Comment