Tuesday, February 4, 2014

Neymar aendelea vyema na mazoezi, anatarajia kurudi dimbani wikiendi hii

FOTO: MIGUEL RUIZ - FCB
Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar akiwa kwenye mazoezi baada ya kupata nafuu kwenye kifundo chake cha mguu wa kushoto. Neymar ambaye ameshakaa benchi kwa takribani wiki mbili anatarajia kurudi dimbani wikiendi hii baada ya vipimo kuonesha mguu wake umeshapona. Wiki hii anatarajia kuanza kufanya mazoezi na wachezaji wenzake kabla hajarudi dimbani. 

FOTO: MIGUEL RUIZ - FCB
FOTO: MIGUEL RUIZ - FCB
FOTO: MIGUEL RUIZ - FCBFOTO: MIGUEL RUIZ - FCB
FOTO: MIGUEL RUIZ - FCB

No comments:

Post a Comment