Tuesday, February 4, 2014

Matukio ya kuigwa kwenye soka yaliyowahi kutokea

Bofya video hii kuangalia matukio muhimu ya kuigwa katika soka ambayo yamewahi kutokea. Baadhi ya matukio haya ni wachezaji kuwapa jezi vilema na washabiki waliojitolea, timu nzima kusimama bila kukaba mpira na kuruhusu wapinzani kuwafunga goli baada ya kuwafunga goli kimakosa, mchezaji kukiri kwa refa kuwa alifunga goli kwa mkono n.k. Baadhi ya watu waliyotazama video hii wamefikia hatua ya kulia kutokana na baadhi ya matukio kuvuta hisia kali. Kuna haja FIFA ikaanza kutoa tuzo kila mwaka za matukio muhimu ya Fair Play kama haya yaliyopo kwenye video hii. 




Ronaldinho akimpa jezi kilema aliyekuwa uwanjani 


Ribery akimpa jezi shabiki aliyevamia uwanjani


Ronaldo akiwa nje wa uwanja kumpatia shabiki wa Madrid jezi 

No comments:

Post a Comment