Sunday, March 9, 2014

Yanga yatolewa na Al Ahly kwa penati 4-3, baada ya dk 90 kuisha kwa Al Ahly kushinda goli 1



Bofya Video hii kuangalia penati zote zilizopigwa 
Wachezaj iwa Yanga waliopata ni Didier, Canavaro, Okwi na waliokosa ni Oscar, Bahanuzi na Twite




Goli walilofungwa Yanga ndani ya dakika 90 za mchezo 

Matukio zaidi wakati wa upigaji penati 

No comments:

Post a Comment