Saturday, March 1, 2014

Costa aitwa mara ya kwanza kikosi cha La Roja

Spain calls up Diego Costa
Mshambuliaji wa Atletico Madrid, Diego Costa ameitwa kwenye timu ya taifa ya Hispania kwa mara ya kwanza na anatarajia kucheza mechi yake ya kwanza March 5 ambapo Hispania itakapocheza mechi ya kirafiki dhidi ya Italy. Kikosi kamili cha Hispania ni kama ifuatavyo; 

Goalkeepers: Casillas, Reina and Valdés.
Defenders: Juanfran, Javi Martínez, Ramos, Alba, Azpilicueta, Albiol.
Midfielders: Xabi Alonso, Busquets, Xavi, Koke, Thiago, Iniesta, Navas, Cazorla, Cesc and Silva.
Forwards: Pedro, Diego Costa and Negredo.

No comments:

Post a Comment