Sunday, March 16, 2014

Liverpool yaipiga Man utd ndani ya Old Trafford

Manchester United 0 - 3 Liverpool 

Man Utd: De Gea, Da Silva, Jones, Vidic, Evra, Fellaini, Carrick, Mata, Rooney, Januzaj, Van Persie. Subs: Ferdinand, Lindegaard, Young, Welbeck, Cleverley, Valencia, Kagawa.

Liverpool: Mignolet, Johnson, Skrtel, Agger, Flanagan, Henderson, Gerrard, Allen, Sterling, Sturridge, Suarez. Subs: Brad Jones, Aspas, Coutinho, Moses, Sakho, Cissokho, Lucas.

Magoli: Gerrard (2) na Suarez 

Referee: Mark Clattenburg (Tyne & Wear)

Sir Alex alikuwepo uwanjani 

Maadui wakisalimiana Suarez na Evra, ikumbukwe Suarez alishawahi kumfanyia vitendo vya kibaguzi Evra

Rafael akishika mpira na kusababisha penati ya kwanza

Gerrard akifunga penati kuandika goli la kwanza, Gerrard alifunga magoli mawili, magoli yote yalitokana na penati ila alikosa penati moja baada ya mpira kugonga mwamba wa chini 

Dejected: Vidic (right) and Wayne Rooney (left) look glum during a frustrating home draw with relegation-threatened Fulham
Man Utd vs Liverpool live
Katika mchezo wa leo Man utd walikuwa wakicheza kwa kiwango kibovu kupata kuonekana. Nafasi ya kiungo ilishindwa kabisa kusambaza mipira na safu ya ushambualiji iliyokuwa ikiongozwa na RVP na Rooney ilikuwa butu sana. Kwa dakika zote 90 za mchezo Rooney na RVP hawakuweza kucheza mpira wowote ambao ulisababisha mashambulizi ya nguvu. Matokeo ya leo yanaifanya Liverpool ifikishe pointi 62 na kupaa hadi nafasi ya pili ikiwa na tofauti ya pointi nne kutoka kwa Chelsea inayoongoza ligi. Man utd wamebakia na pointi 48 wakiwa nafasi ya saba. 

No comments:

Post a Comment