| Jose Mourinho akiwa na familia yake kwenye fukwe za Marina nchini Ureno |
| Kocha wa Tottenham AVB akiwa mapumzikoni kwenye fukwe za Lisbon, Ureno |
| John Terry akiwa na familia yake kwenye fukwe za Quinta do Lago nchin Ureno |
Rooney akiwa na mkewe kwenye uwanja wa michezo Glastonbury nchini Uingereza
Lionel Messi akiwa Senegal kutembelea kituo cha kukuzia vijana Aspire Academy
| Crouch akiwa na rafiki zake kwenye kisiwa cha Ibiza |
| Beki wa Newcastle Danny Simpson akiwa na mpenzi wake kwenye kisiwa cha Ibiza |
| Dzeko akiwa anacheza na dolphins ndani ya hotel moja Ibiza |
| Sneijder akiwa kwenye fukwe za Ibiza |
| De Jong na marafiki zake wakiwa Ibiza |
| Alex Oxlade-Chamberlain |
| Carrick akiwa Barbados |
| Drogba akiwa New York kucheki mechi ya Basketball |
| Bent akiwa Ibiza na mkewe |
| Garrard amemaliza likizo, hapa alikuwa kwenye airport ya nyumbani akitokea Marekani |
No comments:
Post a Comment