Monday, April 28, 2014

Jinsi Dani Alves alivyokula ndizi uwanjani

Racist taunt: A banana is thrown on the pitch as Dani Alves prepares to take a corner
Dani Alves akiokota ndizi iliyorushwa na mashabiki wa Villareal kwenye mchezo baina ya timu hiyo na Barcelona. Alves aliokota na kuila ndizi hii ambayo ilirushwa kwa lengo la kumkejeli mchezaji huyu ikiwa ni ishara ya ubaguzi wa rangi. Kitendo hiki cha Alves kuila ndizi kimetafsiriwa kama komesha ya wabaguzi wa rangi duniani ambao wanapenda kutumia ndizi kama njia moja wapo ya kuwabagua. Kikawaida wachezaji wanapotupia ndizi wanachukia na kuipeleka kwa refa, lakini Alves aliwafanya washabiki waliorusha kukereka zaidi baada ya kuila. 

Feeling peckish: The Brazilian defender unpeels the offending fruit as the linesman waitsPotassium injections: Alves takes a substantial bite out of the banana before discarding the restReplenished: After his mid-match snack the Barcelona full-back continues with the gameBack to business: Alves takes the corner and Barcelona eventually come back to win the game 3-2

No comments:

Post a Comment