Monday, April 7, 2014

Arsenal ipo hatarini kukosa michuano ya Uefa

Arsene Wenger looks on as Arsenal lose at Everton
Ni kweli wanakwenda sambamba na miezi??: January walikuwa nafasi ya kwanza, February nafasi ya Pili, March nafasi ya tatu, na sasa April wapo nafasi ya nne, ligi inakwisha mwezi May, je watashuka hadi nafasi ya tano??? Mechi zilizobakia kwa klabu ya Arsenal ni kama zifuatazo 

Tue 15 April: v West Ham (H)
Sat 19 April: v Hull (A)
Mon 28 April: v Newcastle (H)
Sat 3 May: v West Brom (H)
Sat 11 May: v Norwich (A)

Kwasasa klabu ya Arsenal ina pointi 64 ikiwa imeshacheza mechi 33. Wakati Everton ina pointi 63 ikiwa na mchezo mmoja mkononi. Kama Everton itashinda mchezo wake uliobakia itafikisha pointi 66 na itapanda hadi nafasi ya nne. 

No comments:

Post a Comment