Thursday, May 30, 2013

Kilimanjaro wakabidhi mil 25 kwa Yanga

Kampuni ya bia ya Kilimanjaro leo imekabidhi hundi ya shilingi mil 25 kwa klabu ya Yanga kama zawadi yao kwa kushinda ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara. Kushoto ni George Kavishe (meneja wa Kilimanjaro Premium Lager) akimkabidhi mfano wa hundi Laurance Mwalusako (kulia) ambaye ni katibu mkuu wa Yanga. 

No comments:

Post a Comment