Wednesday, May 15, 2013

Carrick na RVP wapata tuzo za ndani ya klabu

Baada ya kutwaa ubingwa, klabu ya Manchester United usiku wa jumatano ilifanya sherehe za kuwatunuku wachezaji waliofanya vizuri msimu huu. Michael Carrick ndiye alitoka kinara kwenye tuzo hizo baada ya kupata tuzo ya mchezaji bora wa mwaka, wakati Robin Van Persie aliweza kupata tuzo mbili moja ya goli bora alilofunga dhidi ya Aston Villa na nyingine ya mchezaji aliyependwa na mashabiki. Adnan Januzaj alipata tuzo ya mchezaji kijana na Ben Pearson alipata tuzo mchezaji bora wa akademi. Shughuli hii ya kutoa tuzo ilikwenda sambamba na sherehe kubwa ambapo wachezaji wa Man utd, wake/wachumba zao pamoja na viongozi wa klabu walijumuika pamoja kusherehekea mafanikio yote kwa ujumla ya klabu hiyo msimu huu. 

The best: Carrick was awarded Player of the Season despite tough competition
Carrick akipokea tuzo ya mchezaji bora wa mwaka
Line-up: Robin van Persie is presented with the Sir Matt Busby Fans' Player of the Year award
RVP naye alipokea tuzo yake ya goli bora dhidi ya Aston Villa
All smiles: Ferguson greets his striker Robin Van Persie as the two share a laugh before the awards
RVP na Sir Alex wakisalimiana kabla ya party kuanza, imesemeka kuwa RVP ndiye mchezaji anayependwa zaidi na Babu kwasasa.
One last team talk? Sir Alex Ferguson speaks to Patrice Evra, Anderson and Antonio Valencia
Honours: Adnan Januzaj was Young Player of the Year (above) while Ben Pearson took the Academy award
Adnan Januzaj  akipokea tuzo ya mchezaji kijana
Single file: Wayne Rooney (centre) arrives at the dinner but will he be at United next season?
Wachezaji wakiingia ukumbini, Rooney kama kawaida hakuna kutabasamu, bado ana kabifu na Sir Alex baada ya kugomewa kuhama
Meeting of minds: Rafael speaks to Patrice Evra, Anderson and Antonio Valencia at the awards ceremony


Mitindo ilikuwepo pia, chagua aliyetokelezea zaidi
Robin van Persie  Michael Carrick
Shinji Kagawa  Rafael
Alexander Buttner David de Gea
Ryan Giggs Nicky Butt
Nemanja Vidic  Rio Ferdinand
Tom Cleverley  Anders Lindegaard
Man United

No comments:

Post a Comment