Saturday, April 26, 2014

Van Gaal kwenda na Patrick Kluivert Man utd

The new Old Trafford dugout? Louis van Gaal could bring in Patrick Kluivert were he to become United manager
Louis Van Gaal upande wa kushoto ndiye atakaye kuwa kocha mkuu wa Man utd baada ya Moyes kufukuzwa kazi. Taarifa za uhakika kutoka vyombo mbalimbali vya habari zimeshathibitisha kuwa Van Gaal ndiye kocha mkuu wa United licha ya kuwa United yenyewe bado haija tangaza rasmi. Taarifa hizi pia zinasema Van Gaal anatarajia kumchukua Patrick Kluivert kama kocha msaidizi. Bado haijajulikana Giggs na wenzake ambao wanaifundisha United kwasasa watakuwa kwenye nafasi gani, lakini ni wazi kuwa watakuwepo kwenye benchi la ufundi pamoja na Gaal. Kabla ya kujiunga na United, Gaal ameshawahi kuzifundisha klabu za Barcelona, Bayern Munich, Ajax na timu ya taifa ya Uholanzi. 

Legend: Kluivert played under Van Gaal for Ajax and Barcelona (above)

All smiles: Ryan Giggs larks about with his 'Class of '92' coaching setup at United's training session

No comments:

Post a Comment