Friday, April 11, 2014

Wanafamilia watatu wa Liverpool wapata tuzo

All smiles! Brendan Rodgers, Steven Gerrard and Luis Suarez all picked up awards for March on Friday
Wanafamilia watatu wa Liverpool kocha Brendan Rodgers, kiungo Steven Gerrard na mshambuliaji Luis Suarez wamepata tuzo za Barclays kwa mwezi March. Rogders amepata tuzo kama kocha bora wa mwezi wakati Gerrard na Suarez wamepata tuzo kama wachezaji bora wa mwezi watatu. Tuzo hizi zote kutolewa kwa wanafamilia wa Liverpool ni kutokana na kiwango kizuri kilichooneshwa na timu ya Liverpool kwa kupata ushindi wa mechi nyingi mfululizo hadi kufikia hatua ya kuongoza ligi. 

It's mine? Gerrard and Suarez shared the player of the month award after a string of excellent performances

No comments:

Post a Comment