Mamba wamejitokeza kutoka kwenye mabwawa pembezoni mwa kiwanja katika siku ya ufunguzi michuano ya Zurich Classic of New Orleans nchini Uswis. Kufuatia hali hiyo wachezaji walijikuta wanasimama kwa muda kuwaangalia mamba hao. Hata hivyo hakuna mtu aliyejeruhiwa na ufunguzi huo uliendelea kama ulivyopangwa.
No comments:
Post a Comment