DailyMail linaripoti kuwa aibu ilitawala kwenye kiwanja cha academy nchini China baada ya mchezaji nyota wa PSG David Beckham kuanguka wakati akipiga mpira ili kuwaonesha watu umahiri wake. Wakati anapatwa na aibu hiyo Beckham alikuwa amevaa shati na suruali (official) maalum kwa ajili ya kuongea na umati uliokusanyika, lakini mwishoni akajikuta anaingia kiwanjani ili awaoneshe watu umahiri wake wa kupiga mipira mirefu ndipo akajikuta anaangukia mgongo.
No comments:
Post a Comment