Mechi ya kirafiki Brazil na Italy iliyofanyika nchini Uswis matokeo ya mwisho ni goli 2-2. Brazil ndiyo ilitangulia kufunga katika dakika ya 33 na 42 wafungaji wakiwa ni Fred na Oscar. Italy walifuatia katika dakika ya 54 na 57 wafungaji wakiwa ni Rossi na balotelli. (Angalia magoli kwenye video)
No comments:
Post a Comment