Caroline Wozniacki mdau wa Liverpool
Jarida la BoxSports limeeleza kuwa, Caroline Wozniacki mchezaji tenesi bora wa kike mwaka 2011/12 ameonesha wazi mapenzi yake na club ya Liverpool ya England baada ya kuonekana amevaa jezi ya timu hiyo. Wozniacki alivaa jezi hiyo leo akiwa kwenye mazoezi akijiandaa na michuano ijayo ya tenesi. Wozniacki ameonesha kumkubali zaidi kepteni Gerrard.
No comments:
Post a Comment