Sunday, March 17, 2013

Maria Sharapova ashinda Indian Wells

Maria Yuryevna Sharapova amemshinda Caroline Wozniacki kwa seti 6-2, 6-2 katika fainali ya Indian Wells. Kwa ushindi huu Maria anakwenda hadi nafasi ya pili kwenye renki ya dunia akimpiku mshindani wake Victoria Azarenka. Nafasi ya kwanza inashikiliwa na Serena Williams

No comments:

Post a Comment