Beki wa Man United Rio Ferdinand leo ametangaza kujitoa kwenye kikosi cha England kitakacho pambana na San Marino katika mechi ya kuwania kufuzu kombe la dunia kutokana na matibabu anayoendelea nayo ya mgongo kwa muda wa wiki moja sasa. Rio amesema hayo leo baada ya kukubaliwa na kocha wa taifa Hodgson. Pia Rio amesema taarifa hizi hazina mahusiano na jambo lolote kwani yeye anaipenda nchi yake na yupo tayari kuipigania wakati wowote akiwa mzima wa kiafya.
No comments:
Post a Comment