Sunday, April 7, 2013

Drogba apiga bonge la goli

Didier Drogba mshambuliaji wa Galatasaray ya Uturuki jana (6/4/13) alifunga bonge la goli ambalo alikiri hajawahi kufunga katika historia ya maisha yake ya soka. Goli hilo lilikuwa kati ya magoli matatu ya Galatasaray iliyoshinda dhidi ya moja la Mersin katika mchezo wa ligi kuu ya Uturuki. Licheki kwenye video chini. 

No comments:

Post a Comment