Thursday, April 18, 2013

Murray atolewa na Wawrinka Monte Carlo

Dismantled: Murray had no answer to Wawrinka
Andy Murray akiwa amekata tamaa katikati ya mchezo baada ya kuwa nyuma kwa seti 6-2, 5-1 dhidi ya Wawrinka. Katika mchezo huo Wawrinka alishinda kwa seti mbili mfululizo 6-2, 6-1. Murray ambaye alitabiriwa kufanya vizuri mwaka huu kwenye michuano ya tenesi baada ya kushinda US Open lakini ameonekana kupoteza imani za mashabiki wake baada ya matokeo haya kwa kufungwa seti mbili mfululizo katika michuano ya Monte Carlo
Outfoxed: Murray has plenty of work to do before the French Open in June
Murry akirudisha mpira 'back hand' dhidi ya Wawrinka kwenye michuano ya Monte Carlo jijini Monaco Ufaransa. Monte Carlo ni michuano ya tenesi kwa wanaume inayofanyika kila mwaka ambapo Rafel Nadal ndiye bingwa mtetezi wa kombe hilo tokea mwaka 2005 hadi 2012. 

No comments:

Post a Comment