Tuesday, April 9, 2013

Sura ya kutisha ya Jones

Sura ya beki wa Man utd Jones imekuwa gumzo baada ya kuonesha sura ya kutisha kwenye mechi kati ya United na Man city. Jones alionesha sura hiyo alipokuwa akiangalia mpira uliokuwa ukienda nyavuni kuandika goli la pili kutoka kwa Sergio Aguero. Vyombo vingi vya habari nchi Uingereza vimeripoti habari hii ya sura ya kutisha. Tafsiri ya wahariri wengi nchini Uingereza imesema sura hiyo inaonesha kuwa Jones ni mwoga akiona mambo yanapokwenda mrama. Chini ni picha za Jones zinazoonesha sura yake ya kutisha. 


No comments:

Post a Comment