Tuesday, April 9, 2013

Toto African ipo kambini mjini Dodoma


Timu ya Toto African ya jijini Mwanza ipo mkoani Dodoma kujiandaa na mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya polisi Morogoro mchezo utakaofanyika kesho tarehe 10 April. Timu ya Toto iliwasili mjini Dodoma jana usiku ikitokea Mwanza na kupiga kambi ya siku moja ili kujiaandaa na mchezo huo. Toto wanatarajia kuondoka mkoani Dodoma leo jioni kuelekea Morogoro na wanatarajia kufika usiku wa leo. 


Wachezaji wa Toto african ya Mwanza wakijiaandaa kwenda kufanya mazoezi leo asubuji (9/4/13)katika uwanja wa jamhuri Dodoma  

No comments:

Post a Comment