Video hii inaonesha ubunifu wa mashabiki wa Borussia Dortmund ambao haujawahi kufanyika duniani katika mchezo wa soka baada ya kuonesha picha ya mtu aliyeshikilia darubini sambamba na nembo ya klabu ikiwa imezungukwa na picha ya kombe la UEFA champions. Aina hii ya maonesho ilifanyika katika mechi kati ya Dortmund na Malaga wiki hii, inatarajiwa kufanyika tena katika mechi yao dhidi ya Real Madrid tarehe 24 April.
No comments:
Post a Comment