Thursday, May 9, 2013

Klabu ya Everton yathibitisha Moyes kuondoka

Athletic? The Scot's certainly a better mover than Sir Alex Ferguson
Klabu ya Everton leo imethibitisha kuwa kocha wake David Moyes ataondoka mwishoni mwa msimu huu baada ya mechi ya mwisho. Moyes anaondoka Everton tayari kuanza kazi mpya ya kuifundisha klabu ya Man utd. Picha hii imepigwa leo asubuhi wakati Moyes alipokuwa anakwenda kukutana na mmiliki wa Everton bwana Bill ili kukamilisha mipango yake ya kuhamia Man utd. 

No comments:

Post a Comment