Saturday, May 25, 2013

Maandalizi ya fainali za Uefa nje ya kiwanja

Cheers, frauleins: Waitresses ready to serve at a Bavarian Beerhouse
Wahudumu wa Bavarian Beerhouse jijini London wakitangaza ofa ya punguzo la bei maalumu kwa ajili ya fainali za Uefa. Bia hii ni maarufu sana nchini Ujerumani ikiwa pia ni wadhamini wa Bayern Munich. Bar za maeneo ya Tower Hill and Old Street jijini London ambao ndiyo mawakala wa pombe hii wanategemea kupata wateja wengi sana usiku wa leo ikiwa Bayern Munich watashinda. 
Poking fun: A Dortmund towel reserves a deck chair in London's Parliament Square
Taulo ya Dortmund ikiwa imewekwa katikati ya kiwanja cha Bunge la Uingereza kuonesha uwepo wa Dortmund ndani ya utawala wa Malkia. 
Can't beat them, join them: The first pocket of Dortmund fans gather in Trafalgar Square
Coming through: Bayern Munich supporter Helmut Robers arrives at Wembley stadium on his bike
Helmut Robers shabiki maarufu wa Bayern Munich aliyesafiri takribani kilomita 546 kutoka Muemster, Ujerumani na baiskeli yake hadi Wembley London kuwashuhudia The Bavarian kwenye fainali.
Coming through: Bayern Munich supporter Helmut Robers arrives at Wembley stadium on his bike
Nice jacket: A Dortmund fan at Wembley showing off his collection of patches Nice jacket: A Dortmund fan at Wembley showing off his collection of patches

No comments:

Post a Comment