Sunday, May 26, 2013

Man city 5 - 3 Chelsea

Rampage: Man City won their second high-scoring game against Chelsea in a couple of days
Klabu ya Man city imeifunga tena Chelsea kwenye mechi ya kirafiki nchini Marekani kwa magoli 5-3. Hii ni mechi ya pili  baada ya mechi ya kwanza Man city kushinda kwa goli 4-3 dhidi ya Chelsea alhamisi iliyopita. Mechi hii ndiyo ya mwisho kwa timu hizi kwenye ziara yao nchini Marekani ziara ambayo imedumu kwa wiki moja.

Match facts

Man City (4-2-3-1): Hart (Wright 45,mins); Zabaleta (Maicon 45mins), Kompany (Lescott 45mins), Boyata (Garcia 55mins), Kolarov; Y Toure (Rodwell 45mins), Barry; Nasri, Tevez (Razak 45mins), Silva (Milner 45mins); Aguero (Dzeko 45mins).
Goals: Barry 3, Nasri 29, 73, Milner 54, Dzeko 84.
Chelsea (4-1-3-2): Hilario (Cech 45mins); Azpilicueta, Christensen, Luiz (Mata 61mins), Ake; Mikel; Loftus-Cheek (Ferreira 42mins), Ramires, Oscar (Benayoun 65mins); Ba, Torres.
Goals: Ramires 48, 68, Mata 82. 
Att: 39,462.

No comments:

Post a Comment