Sunday, May 26, 2013

Taifa stars wakabidhiwa suti na Kilimanjaro

Wadhamini wakuu wa Taifa stars, Kilimanjaro Premium Lager wamekabidhi suti rasmi kwa timu ya taifa ikiwa ni vazi kwa wachezaji hao wanapokuwa kwenye shughuli mbalimbali za timu hiyo ikiwemo safari na tafrija mbalimbali. 

Vijana wametokelezea vilivyo 
Wachezaji wakipita mbele ya watu waliohudhuria tafrija hiyo iliyofanyika ndani ya hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam. 

No comments:

Post a Comment