Wednesday, May 29, 2013

Ronaldo auza sura na Rihanna Lisbon

Pleased to meet you: Cristiano Ronaldo hangs out with Rihanna after a concert on Tuesday night
Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo (kulia) akiwa pamoja na nyota wa muziki wa pop kutoka nchini Marekani Rihanna walipokutana jijini Lisbon nchini Ureno. Ronaldo alipaa kutoka Madrid, Hispania hadi Ureno ili aweze kushiriki kwenye onyesho la muziki wa Rihanaa na baada ya onyesha alikwenda kukutana naye ili aweze kumsalimia na kuweza kupiga naye picha ya kumbukumbu kuonesha mapenzi yake ya muziki wa Rihanna. 
Pleased to meet you: Cristiano Ronaldo hangs out with Rihanna after a concert on Tuesday night

No comments:

Post a Comment