Thursday, May 23, 2013

Tembo atabiri Munich kushinda dhidi ya Dortmund

Champions League final
Baada ya pweza wa kombe la dunia kuvuma mwaka 2010 kwa kutabiri matokeo ya mechi, wiki hii ameibuka tembo wa Nelly ambaye ametabiri kuwa Bayern Munich watashinda kwenye fainali za Uefa champions dhidi ya Dortmund. Tembo huyo aliwekewa mpira na kisha akaupiga kwenye goli la Dortmund kuonesha kuwa Dortmund watafungwa na Bayern. Huu ni utabiri tu, tuongojee dakika 90 za mchezo ili kujua kama kweli tembo huyu amebahatisha sahihi. Angalia video ya tembo huyo wa Nelly. 

No comments:

Post a Comment