Saturday, May 25, 2013

Will Smith amewasili London kushuhudia fainali live

Holywood stars Will Smith na mtoto wake Jaden wakiuza sura mbele ya jezi za Bayern na Dortmund kuonesha uhalisia katika ushabiki wa soka. Smith na Jaden wameshawasili jijini London tayari kuangalia fainali ya klabu bingwa barani Ulaya  kati ya Dortmund na Bayern Munich. Mbali ya Will Smith mechi ya leo pia itashuhudiwa na watu wengi mashuhuri duniani akiwemo Prince William (Duke of Cambridge), Chancellor wa Ujerumani Bibi Angela Merkel na wengine wengi. 

No comments:

Post a Comment