Tuesday, June 25, 2013

Alex Chamberlain alivyojenga mwili tokea 2011

Alex Oxlade-Chamberlain yawning  Alex Oxlade-Chamberlain pictured after signing for Arsenal
2013                                      2011
Huyu ni Alex Oxlade-Chamberlain wa Arsenal, picha ya kushoto inaonesha anavyoonekana sasa na picha ya kulia alivyokuwa mwaka 2011 wakati anajiunga na Arsenal. Mazoezi yanajenga mwili!!!!...Wenger anajua kukuza vijana.
Alex Oxlade-Chamberlain Alex Oxlade-Chamberlain and Kieran Gibbs
Chamberlain na Gibbs wakiwa kwenye kisiwa cha Balearic kula raha. Gibbs naye ameshaanza kujenga kifua, tutamcheki mwisho wa msimu ujao...

No comments:

Post a Comment