Sunday, July 21, 2013

Suarez awasili Sydney na kuwachunia waandishi

BPrzk kCIAAkiRd Luis Suarez refuses to bite when asked if Liverpool fans should still buy his shirt
Photo: Luis Suarez arrives in Melbourne !

Admin Akshay

Picha zikimuonesha mshambuliaji wa Liverpool Luis Suarez akiwasili jijini Sydney nchini Australia tayari kuungana na wachezaji wenzake. Taarifa za kuwasili Suarez nchini Australia kuungana na wenzake zimethibitisha maneno ya kocha wa klabu hiyo Brendan Rodgers aliyekuwa akisisitiza kuwa mchezaji huyu hauzwi. Suarez amekuwa akihusishwa kuhamia klabu ya Arsenal na Real Madrid. Suarez anatarajia kuanza mazoezi kesho tayari kujiandaa na msimu ujao wa ligi. Chini ni video inayomuonesha Suarez akiwasili jijini Sydney nchini Australia, mcheki alivyowachunia waandishi wa habari 

No comments:

Post a Comment