Tuesday, June 25, 2013

Azam FC waanza mazoezi kujiandaa na ligi 2013/14

Picha mbalimbali zikionesha wachezaji wa Azam Fc wakiwa kwenye uwanja wao Chamanzi wakijiandaa na msimu ujao wa ligi. Wachezaji waliohudhuria mazoezi ya kwanza ni Malika Ndeule, Brian Umony, Jabir Aziz stima, Waziri Salum, Gaudence Mwaikimba, Luckson Jonathan kakolaki, Samih Haji Nuhu, Seif Abdallah Karihe, Wandwi Jackson na Ibrahim Mwaipopo. Wachezaji wengine 16 walikosekana kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutumikia timu ya taifa na wengine bado wapo likizo nje ya nchi. 

\

No comments:

Post a Comment