Monday, June 24, 2013

Bale mapumzikoni Wales kungojea hatma yake

Out and about: Gareth Bale with partner Emma Rhys-Jones arrive in Penarth Marina yesterday
Gareth Bale akiwa na mpenzi wake Emma Jones kwenye mji wa Penarth Marina, Wales ambapo mchezaji huyu yupo mapumzikoni wakati akingojea kujua hatma yake kama atabaki Tottenham msimu ujao au atajiunga na Madrid. Hadi sasa Madrid bado hawajapeleka rasmi ofa kwa Tottenham ya kutaka kumsajili mchezaji huyu licha ya kuwa wakala wa usajili wa Madrid Zinadine Zidane ameshatangaza kuwa Madrid imeshatenga kiasi cha paundi mil 80 ili kumsajili Bale. Lakini wachambuzi wa mambo ya soka wanasema, Klabu ya Madrid kwasasa wanashughulikia mkataba mpya wa Cristiano Ronaldo ili aweze kubaki ndani ya klabu hiyo na wakishafanikiwa kumbakiza Ronaldo ndipo watahamia kwa rasmi kwa Bale. 

No comments:

Post a Comment